STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Kwa kutumia vitabu, vinasa sauti kanda mbalimbali mwalimu awaongoze wanafunzi wabaini njia mbalimbali, za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. |
Wanafunzi wataje njia mbalimbali za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Ongoza Wanafunzi wataje njia mbalimbali za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi |
wanafunzi wabaini njia mbalimbali, za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
aongeze Wanafunzi wajadili ubora na udhaifu wa kila njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. |
Wanafunzi wajadili ubora na udhaifu wa kila njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
aongeze Wanafunzi wajadili ubora na udhaifu wa kila njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |